1 photo
3 Acres Shamba in Kigamboni linauzwa
Price
TZS 55,000,000.00
Category
Listing ID
#21
Viewed
264x
Publish date
January 15, 2020
Description
Kigamboni, Mbagala Dar Es Salaam, Kilometa 24 kutoka Ferry kigamboni. Ni karibu sana na Fun City. Njia ina pitika vizuri.
lina migomba ya ndizi
kisima cha maji baridi yanayo mwagika yenyewe 24/7
Mabanda ya kisasa ya nguruwe
Nyumba ya mfanyakazi, chumba na sebule na stoo ya kutunzia vyakula vya mifugo plus jiko la nje.
Chumba cha mlinzi na chumba cha jenereta la kupandishia maji kwenye matenki.
Matenki ya lika elf 5 na moja la lita elf 1
Contacts 0677-999998

Comments Add new